29 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 93.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1547 - Miguel de Cervantes, mwandishi Mhispania
- 1897 - Herbert Agar, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1901 - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938
- 1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 1931 - James Cronin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980
- 1942 - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1942 - Jean-Luc Ponty, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 1948 - Theo Jörgensmann, mwanamuziki kutoka Ujerumani
- 1961 - Julia Gillard, Waziri Mkuu wa Australia (2010-2013)
Waliofariki
hariri- 1637 - Mtakatifu Lorenzo Ruiz, mfiadini kutoka Ufilipino
- 1925 - Leon Bourgeois, mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1920
- 1927 - Willem Einthoven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924
- 1952 - George Santayana
- 1973 - W. H. Auden, mshairi kutoka Uingereza na Marekani
- 2001 - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 2012 - Hebe Camargo, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya malaika wakuu Mikaeli, Gabrieli na Rafaeli, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Marmara, Ripsime na wenzake, Fraterno wa Auxerre, Siriaki wa Palestina, Lidwini wa Trier, Adariki, Morisi wa Carnoet, Yohane wa Dukla, Mikaeli wa Aozaraza na wenzake, Renato Goupil n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |