Jambo Bwana ni zulika ya Kenya ambayo pia ni mashuhuri nchini Tanzania.

Muziki huu uliachiliwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1982 na bendi ya Kenya ijulikanayo kama Them Mushrooms na baadaye ikafanyiwa kazi na idadi ya makundi mengine na wasanii ikijumuisha Mombasa Roots, bendi ya SafariSound, Khadja Nin, Adam Solomon, Mani Kollengode[1][2] na kikundi cha Ujerumani cha German Boney M. Baadhi ya aina nyingine zilikuja katika vichwa mbali mbali kama "Jambo Jambo" na "Hakuna Matat".

Marejeo

hariri
  1. Jambo Bwana By Mani (Cover) Hakuna Matata, iliwekwa mnamo 2023-05-14
  2. "This Kenyan Artist, With Asian Origin- Can Sing "Jambo Bwana" Better Than You. - GhettoRadio 89.5 FM". web.archive.org. 2019-12-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-23. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.