Mombasa Roots (au Mombasa Roots Band) ni bendi ya hotel pop kutoka nchini Kenya. Bendi ilianzishwa mnamo mwaka wa 1977. Lele Mama (1999) ni albamu maarufu ya Mombasa Roots. Bendi inacharaza katika hoteli nyingi, na n'gambo pia; kwa mfano, ilicharaza katika Ujerumani, Kanada, Uswisi, Ethiopia, Dubai na Omani.

Mombasa Roots
Asili yake Kenya
Aina ya muziki Hotel pop
Miaka ya kazi 1977 - hadi leo
Wanachama wa zamani
Suleiman Juma
Adam Solomon

Albamu

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mombasa Roots kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.