James Francis Mbatia
James Francis Mbatia (amezaliwa 10 Juni 1964) ni mwanasiasa wa chama cha NCCR–Mageuzi nchini Tanzania na alikuwa mbunge wa kuteuliwa tangu 2012 halafu akachaguliwa kuwa mbunge wa Vunjo kwa mwaka 2015 – 2020.
Marejeo
haririMakala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |