James Francis Mbatia

(Elekezwa kutoka James Fransis Mbatia)

James Francis Mbatia (amezaliwa 10 Juni 1964) ni mwanasiasa wa chama cha NCCR–Mageuzi nchini Tanzania na ni mbunge wa kuteuliwa tangu 2012 halafu amechaguliwa kuwa mbunge wa Vunjo kwa mwaka 20152020.[1]

Marejeo hariri

  1. "Member of Parliament CV". Bunge la Tanzania. 2010.  Text "imeandaliwa Mei 2017" ignored (help)[dead link]