James Knox Polk (2 Novemba 179515 Juni 1849) alikuwa Rais wa 11 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1845 hadi 1849. Kaimu Rais wake alikuwa George Mifflin Dallas.

James Polk


Muda wa Utawala
Machi 4, 1845 – Machi 4, 1849
Makamu wa Rais George M. Dallas
mtangulizi John Tyler
aliyemfuata Zachary Taylor

tarehe ya kuzaliwa (1795-11-02)Novemba 2, 1795
Pineville, North Carolina, Marekani
tarehe ya kufa 15 Juni 1849 (umri 53)
Nashville, Tennessee, Marekani
mahali pa kuzikiwa Tennessee State Capitol
chama Democratic
ndoa Sarah Childress Polk (m. 1824) «start: (1824-01)»"Marriage: Sarah Childress Polk to James K. Polk" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/James_K._Polk)
mhitimu wa University of North Carolina, Chapel Hill
signature

Tazamia pia hariri

}}

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James K. Polk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.