John Tyler (29 Machi 179018 Januari 1862) alikuwa Rais wa kumi wa Marekani kuanzia mwaka wa 1841 hadi 1845. Alikuwa Kaimu Rais wa William Henry Harrison aliyefariki madarakani baada ya mwezi mmoja tu.

John Tyler


Muda wa Utawala
Aprili 4, 1841 – Machi 4, 1845
mtangulizi William Henry Harrison
aliyemfuata James K. Polk

Muda wa Utawala
Machi 4, 1827 – Februari 29, 1836
mtangulizi John Randolph
aliyemfuata William Cabell Rives

tarehe ya kuzaliwa (1790-03-29)Machi 29, 1790
Charles City County, Virginia, Marekani
tarehe ya kufa 18 Januari 1862 (umri 71)
Richmond, Virginia
mahali pa kuzikiwa Hollywood Cemetery (Richmond, Virginia)
watoto 15
mhitimu wa The College of William & Mary
Fani yake Mwanasiasa
Wakili
signature

Tazamia pia

hariri

}}

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Tyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.