James Kotei

James Kotei (amezaliwa 10 Agosti 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ghana. Anacheza nafasi ya beki katika timu ya Simba S.C. nchini Tanzania.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Kotei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.