James Schoolcraft Sherman (24 Oktoba 185530 Oktoba 1912) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais William Howard Taft kuanzia mwaka wa 1909 hadi kifo chake 1912.

James Sherman
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Sherman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.