James Truslow Adams

James Truslow Adams (18 Oktoba 187818 Mei 1949) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1922, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Founding of New England".

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Truslow Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.