18 Oktoba

tarehe
Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 18 Oktoba ni siku ya 291 ya mwaka (ya 292 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 74.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Luka Mwinjili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Asklepiadi, Prokulo, Eutisi na Akusi, Petro wa Alkantara, Isaka Jogues n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 18 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.