Jamie Bartlett

Mwigizaji wa Afrika Kusini

James Bartlett (alizaliwa mnamo tarehe 9 Julai 1966 [1] - 23 Mei 2022)[1] Ilihifadhiwa 25 Mei 2022 kwenye Wayback Machine. ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Afrika Kusini anayejulikana sana kwa jukumu lake kama bwana mbaya (David genero) [2] kwenye Rhythm City (TV series) ambayo inarushwa hewani katika nchi nyingi za kiafrika kama Kenya, Zimbabwe, Botswana, Lesotho, Cameroon,

Jamie Bartlett

Amezaliwa Jamie Bartlett
9 Julai 1966
Maidenhead, Berkshire
Amekufa 23 Mei 2022
Johannesburg, Afrika Kusini
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1984-2022
Ndoa Camilla Waldman
Watoto 1

Malawi na Ghana.[1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "10 Things You Didn't Know About Jamie Bartlett - Youth Village". Youth Village. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-03. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  2. Times Live article on David Genaro
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamie Bartlett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.