Janet L. Duprey (alizaliwa tarehe 27 Novemba 1945) alikua mjumbe wa chama cha Republican katika bunge la jimbo la New York, akiwakilisha Jimbo la Bunge la 115, ambalo linajumuisha kaunti zote za Clinton na Franklin, pamoja na sehemu ya Kaunti ya St. Lawrence. Yeye ni mzaliwa wa Plattsburg.

Duprey alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mjumbe wa Bunge tarehe 7 Novemba 2006. Aligombea bila upinzani katika uchaguzi mkuu wa Novemba 2008. [1]

Marejeo

hariri