Janet Egyir

Mchezaji mpira wa Ghana

Janet Egyir (alizaliwa 7 Mei 1992 huko Sekondi) ni mwanasoka wa kimataifa wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa timu ya Afturelding Fram ya Iceland. Alikuwa sehemu ya timu kwenye Mashindano ya Wanawake ya Afrika ya 2014.[1]

Janet Egyir
Amezaliwa 7 Mei 1992
Sekondi
Kazi yake Mwanasoka

Mnamo Mei 2016 alisaini mkataba na klabu ya Víkingur Ólafsvík huko Iceland.

Mnamo mwaka 2018 alikuwa mchezaji bora wa Kombe la Wanawake la WAFU.

Marejeo

hariri
  1. "Black Queens name final 21 for AWC". ghanafa.org. 27 Septemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Egyir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.