Janine Elizabeth Beckie[1] (alizaliwa 20 Agosti 1994) ni mcheza soka wa Kanada katika Klabu ya Manchester City[2] na Timu ya taifa ya wanawake ya Kanada. Aliwahi kuichezea Klabu ya  Sky Blue na Houston Dash kwenye ligi ya wanawake. Ni raia wa nchi ya Kanada pamoja na Marekeni.

Mwanasoka Janine Beckie
Mwanasoka Janine Beckie

Marejeo hariri

  1. "Janine Beckie". Team Canada - Official Olympic Team Website (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  2. "Janine Beckie". www.mancity.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janine Beckie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.