Jaribio T la Mwanafunzi

Katika takwimu, Jaribio T la Mwanafunzi (kwa Kiingereza: Student's t-test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili.

Kosa 1 la Jaribio T la Mwanafunzi.

Linapatwa kwa hesabu kama Takwimu T.

Kwa programu ya takwimu R

hariri

Ili utafute Jaribio T la Mwanafunzi kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> t.test(x, y, paired=TRUE)

Marejeo

hariri
  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio T la Mwanafunzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.