Jaribio la Shapiro-Wilk

Katika takwimu, Jaribio la Shapiro-Wilk (kwa Kiingereza: Shapiro-Wilk test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu ukawaida wa sampuli moja.

Jaribu la Shapiro-Wilk linaitwa pia: Jaribio la ukawaida.

Ukawaida unapatwa kwa hesabu kama Jaribio la Shapiro-Wilk.

Kwa programu ya takwimu R hariri

Ili utafute Jaribu la χ² la Pearson kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike :

> shapiro.test(x)

Marejeo hariri

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio la Shapiro-Wilk kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.