Jas Waters
Jas Waters (pia anajulikana kwa jina lingine kama Jas Fly; 21 Oktoba 1980 – 8 Juni 2020) alikuwa raia wa Marekani mwandishi wa habari pamoja na bonga. Pia alikuwa ni mwandishi wa wafanyakazi kama This Is Us na aliandika The breaks, pamoja na Hood Adjacent with James Davis,[1] na Kidding.[2]
Jas Waters | |
---|---|
Amezaliwa | Jas Waters 21 October 1980 Evanston |
Amekufa | 9 June 2020 Hollywood |
Jina lingine | Jas |
Kazi yake | Mwandishi |
Waters alikuwa mwandishi wa habari hasa kwenye tasnia ya muziki wa hip hop,[3] pia aliandika mshororo wakidijitali uitwao Vibe Vixen mwanzoni mwa mwaka 2010[4] and starring in the reality show The Gossip Game.[5] pia alishiriki katika kusimamia na kuhakikisha kazi zawana filamu hasa weusi wanapata haki zao.[1][6]
Waters alizaliwa katika mji wa Evanston, Illinois,[4] nakukuzwa na bibi yake.[6] baada ya kumaliza Evanston Township High School, na kuelekea Columbia College Chicago.[4]
Alifariki kwa kujiua mnamo Juni 9, 2020, katika mji wa Los Angeles County, California.[7]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Ryu, Jenna (Juni 11, 2020). "'This Is Us' writer Jas Waters dies at 39; cast pays tribute to 'brilliant storyteller'". USA Today (kwa American English). Iliwekwa mnamo Juni 12, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link) - ↑ McGloster, Niki (Novemba 5, 2018). "'Kidding' Writer Jas Waters On Her Journey To Hollywood And Having A Seat At The Table". Shadow And Act (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo Juni 19, 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Yoo, Noah (Juni 11, 2020). "TV Writer and Hip-Hop Journalist Jas Waters Dead at 39". Pitchfork (kwa American English). Iliwekwa mnamo Juni 12, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link) - ↑ 4.0 4.1 4.2 Carras, Christi. "Jas Waters, journalist and TV writer for 'This Is Us' and 'Kidding,' dies at 39", Los Angeles Times, June 10, 2020. (en-US)
- ↑ Thorpe, Isa (Juni 10, 2020). "Hip hop journalist and TV writer Jas Waters dies" (kwa American English). Revolt. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-22. Iliwekwa mnamo Juni 19, 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 6.0 6.1 Hale, Andreas (Aprili 10, 2018). "She's Bringing the Black Experience to American Television". OZY (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-12. Iliwekwa mnamo Juni 12, 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kubota, Samantha. "'This Is Us' writer Jas Waters died by suicide, officials say", June 11, 2020. (en-US)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jas Waters kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |