Jay White (impersonator)

Jay Albert White ni mchezaji kutoka Kanada anayefanya maonyesho ya muziki huko Las Vegas, Nevada. Yeye ni mwimbaji, mchezaji muziki, muigizaji na mtumbuizaji.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. Hotts, Mitch. "Jay White brings Neil Diamond show to Andiamo Showroom". Retrieved on April 9, 2013. Archived from the original on 2014-05-03. 
  2. Brown, Joe. "Diamond songs sung true". Retrieved on August 19, 2008. 
  3. "Jay White official home page".
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay White (impersonator) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.