Jayne Kihara

nsfasi ya kenya

Jayne Njeri Wanjiku Kihara ni mwanasiasa wa Kenya. Kwa sasa ni mbunge wa eneo bunge la Naivasha. [1]

Alipiga kura ya ndiyo kupitisha mswada wa fedha wa 2023 na pia mswada wa sheria ya fedha 2024 tarehe 20 Juni 2024. Pia ana sifa ya kusaidia unyakuzi wa shamba la Ndabibi.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Hon. Kihara, Jayne Njeri Wanjiru | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2020-07-29.
  2. "What you didn't know about Naivasha MP Jane Kihara". hivisasa.com. Iliwekwa mnamo 2020-07-29.
  3. "Naivasha MP Paul Kihara Dies in SA". The East African Standard. Nairobi. Februari 9, 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 6, 2003 – kutoka allAfrica.com.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)