20 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Juni ni siku ya 171 ya mwaka (ya 172 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 194.
Matukio
hariri- 1667 - Uchaguzi wa Papa Klementi IX
Waliozaliwa
hariri- 1819 - Jacques Offenbach, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1861 - Frederick Hopkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1929
- 1909 - Errol Flynn, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1910 - Josephine Johnson, mwandishi kutoka Marekani
- 1920 - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 1951 - Paul Muldoon, mshairi kutoka Marekani
- 1967 - Nicole Kidman
- 1978 - Frank Lampard, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 1983 - Sylvia Bahame, mwanamitindo wa Tanzania, mwaka wa 2003
Waliofariki
hariri- 981 - Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg, askofu wa mji wa Magdeburg, Ujerumani
- 1847 - Mtakatifu Vinchensya Gerosa, bikira kutoka Italia
- 1883 - John William Colenso, askofu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini kutoka Uingereza
- 1958 - Kurt Alder, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950
- 2005 - Jack Kilby, mhandisi umeme kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2000
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Metodi wa Olimpo, Gobani, Yohane wa Matera n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |