Jean Baptiste Perrin (30 Septemba 187017 Aprili 1942) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza mada za fizikia ya kiini na kemia ya kifizikia. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Jean Baptiste Perrin
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Perrin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.