1942
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1938 |
1939 |
1940 |
1941 |
1942
| 1943
| 1944
| 1945
| 1946
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1942 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 23 Januari - Salim Ahmed Salim, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 23 Februari - Seif Ally Iddi, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 27 Februari - Robert Grubbs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 6 Machi - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil
- 25 Machi - Aretha Franklin, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 27 Machi - John Sulston, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 12 Aprili - Jacob Zuma, mwanasiasa wa Afrika Kusini
- 23 Aprili - Étienne Balibar, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 24 Aprili - Barbra Streisand, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Mei - James Fraser Stoddart, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 28 Mei - Stanley Prusiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1997
- 13 Juni - Josaphat Louis Lebulu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 18 Juni - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 18 Juni - Paul McCartney, mwanamuziki Mwingereza
- 21 Juni - Henry S. Taylor, mshairi kutoka Marekani
- 26 Juni - Gilberto Gil, mwanamuziki na Waziri wa Utamaduni wa Brazil
- 13 Julai - Harrison Ford, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 28 Agosti - Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola
- 16 Septemba - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Septemba - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 29 Septemba - Jean-Luc Ponty, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 20 Oktoba - Christiane Nüsslein-Volhard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 19 Novemba - Sharon Olds, mshairi kutoka Marekani
- 20 Novemba - Joe Biden, Kaimu Rais wa Marekani
- 27 Novemba - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 17 Desemba - Muhammadu Buhari, Rais wa Nigeria (1983-1985)
bila tarehe
- Ebenezer Obey, mwanamuziki wa Nigeria
- Muammar al-Gaddafi, rais wa Libya (1969-2011)
Waliofariki
hariri- 10 Machi - William Henry Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
- 17 Aprili - Jean Perrin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926
- 3 Agosti - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 9 au 10 Agosti - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani, anayeheshimiwa kama mtakatifu kwa jina lake la kimonaki Teresa Benedikta wa Msalaba.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: