Jeff Bonwick alivumbua na kuongoza uundaji wa mfumo wa faili wa ZFS, [1] ambao ulitumika katika bidhaa za uhifadhi za ZFS za Oracle Corporation pamoja na Nexenta, Delphix, Joyent, na Datto, Inc. [2] Bonwick pia ndiye mvumbuzi wa slab allocation, [3] ambayo hutumiwa katika kompyuta nyingi ikiwa ni pamoja na MacOS na Linux, na LZJB .

Majukumu yake yalijumuisha Sun Fellow, [4] Sun Storage CTO, [5] na Oracle makamu wa raisi.

Historia hariri

Mnamo 2010 Bonwick alianzisha kampuni ndogo iitwayo DSSD na Mike Shapiro na Bill Moore, na kuwa muhandisi mkuu. Alianzisha usanifu wa programu za mfumo wa DSSD. Alitengeneza kifaa chenye mfumo mzima cha DSSD, ambacho kiliwezesha timu kuchunguza topolojia ya programu zinazowezekana. [6] DSSD ilinunuliwa na Shirika la EMC mnamo 2014, kisha ikawa sehemu ya Dell Technologies mnamo 2016. Kufikia mwisho wa 2016, Bill Moore aliachana na kampuni iyo, wakati Bonwick alibaki kama CTO. DSSD, walighahiri kutoa bidhaa yao iitwayo D5, Machi 2017.

Marejeo hariri

  1. Stanik, John (September–October 2007). "A Conversation with Jeff Bonwick and Bill Moore". ACM Queue (Association for Computing Machinery) 5 (6): 13–19. doi:10.1145/1317394.1317400. Retrieved 2010-03-21.  Unknown parameter |doi-access= ignored (help)
  2. The Birth of ZFS. OpenZFS. Iliwekwa mnamo October 21, 2015.
  3. The story behind the slab allocator, Bonwick blog, Sun Microsystems,
  4. Sun Storage Guru Bonwick Named 14th Sun Fellow. Oracle. Oracle Blog. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-09-23. Iliwekwa mnamo 27 July 2016.
  5. Stammers. Q&A: Jeff Bonwick, Sun's Storage CTO and Bill Moore, ZFS co-designer. Net.Work. TechNews. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-09-23. Iliwekwa mnamo 27 July 2016.
  6. Harris. What is DSSD Building?. StorageMojo. TechnoQWAN LLC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-12-01. Iliwekwa mnamo 27 July 2016.