Jeffrey Eugenides

Jeffrey Eugenides (amezaliwa 8 Machi 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2003, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Middlesex.

Jeffrey Eugenides mnamo 2011
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeffrey Eugenides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.