Jelena Blagojević (alizaliwa 1 Desemba 1988)[1] ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa wavu kutokea Serbia, anaichezea timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa wavu ya Serbia. Alimaliza katika Olimpiki ya majira ya joto[2]. Ana urefu wa  mita 1.81(futi 5 na nchi 11). Anaichezea KS DevelopRes Rzeszow.

Blagojević akiichezea Volley Bergamo mnamo Aprili 2015.
Blagojević akiichezea Volley Bergamo mnamo Aprili 2015.

Marejeo hariri