Jena ni mji wa Thuringia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Saale. Idadi ya wakazi wake ni takriban 104,449. Mji ulianzishwa 1182.

Jena

Nembo
Jena is located in Ujerumani
Jena
Jena

Mahali pa mji wa Jena katika Ujerumani

Majiranukta: 50°56′0″N 11°35′0″E / 50.93333°N 11.58333°E / 50.93333; 11.58333
Nchi Ujerumani
Jimbo Thuringia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 104,449
Tovuti:  www.jena.de
Jena
Chuo Kikuu cha Jena

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.