Jennifer Baumgardner
Jennifer Baumgardner (alizaliwa 1970) ni mwandishi, mwanaharakati, mtengenezaji wa filamu, na mhadhiri ambaye kazi yake inaangaza zaidi katika utoaji mimba, ngono, ujinsia, ubakaji, uzazi , na umoja na nguvu kwa wanawake.
Kuanzia mwaka 2013 hadi 2017, alihudumu kama mkurugenzi Mtendaji/Mchapishaji katika The Feminist Press katika City University of New York (CUNY), ambapo ni taasisi ya wanawake iliyoanzishwa na Florence Howe[1] in 1970.
Anajulikana sana kwa mchango wake katika maendeleo ya third-wave feminism.
Marejeo
hariri- ↑ "Welcome, Jennifer Baumgardner, the new Publisher/Executive Director of Feminist Press!". Feminist Press. 2013-07-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-15. Iliwekwa mnamo 2013-08-02.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Baumgardner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[Jamii:Watu walio hai]