Jenny Darren

mwimbaji wa Uingereza

Jenny Darren ni mwimbaji wa muziki wa rock wa Uingereza.

Alipata umaarufu kwa kuandika nyimbo zilizopendwa na wasikilizaji wengi. Nyimbo hizo ni pamoja na "Pat Benatar", "Heartbreaker".[1][2] Anajulikana kwa sauti yake ya uimbaji wa muziki wa rock, kwenye nyimbo kama vile "Ladykiller", na "Slay Me Like a Lady".[3] Darren ametoa albamu kumi na moja hadi sasa, na ameonekana kwenye albamu nyingine mbalimbali alizoshirikishwa na wasanii wengine. Mtindo wake wa uimbaji ni wa kipekee, akiwa mmoja wa waimbaji wachache wa kike wa muziki wa rock.

Marejeo hariri

  1. "Heartbreaker (Jenny Darren)|Jenny Darren をカバーした人は?". カバー音楽大事典|モトうた.com (kwa Kijapani). Iliwekwa mnamo 2019-04-14. 
  2. "Cover versions of Heartbreaker by Jenny Darren | SecondHandSongs". secondhandsongs.com. Iliwekwa mnamo 2019-04-14. 
  3. "Jenny Darren - Slay Me Like A Lady". Discogs (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-04-14. 

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenny Darren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.