Jens Skou
Jens Christian Skou (amezaliwa 8 Oktoba 1918) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza kimeng'enya cha ATP. Mwaka wa 1997, pamoja na Paul Boyer na John Walker alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jens Skou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |