Jerome Bwanausi
Jerome Dismas Bwanausi (alizaliwa 1 Novemba 1959) ni mwanasiasa wa Chama cha kisiasa cha (CCM) nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lulindi katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015[1].
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaImeangaliwa Juni 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |