Jesús Castillo

mpira wa miguu kutoka Peru

Jesús Castillo (amezaliwa 11 Juni 2001) ni mchezaji winga kutoka Peru. Anacheza kama mshambuliaji na timu yake ya sasa ni Sporting Cristal kutoka Liga 1 ya Peru.[1]

Jesús Castillo
Jesús Castillo
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 11 Juni 2001
Mahala pa kuzaliwa    Callao, Perú
Urefu 1.85
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Sporting Cristal
Klabu za vijana
2017–2019 Sporting Cristal
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2020− Sporting Cristal

* Magoli alioshinda

Marejeo

hariri
  1. "Left Back Football". Left Back Football (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-05.