Jesca David Kishoa
Mwanasiasa wa Tanzania
Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA.
Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 2015 – 2020.[1]
Marejeo
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jesca David Kishoa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |