Jessica Maria Ziu (alizaliwa 6 Juni 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Eire ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Eire.[2]

Marejeo

hariri
  1. T. J. Galvin (2022-10-10). "West Ham confirm Ireland's Jess Ziu has injured her ACL". Irish Examiner (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
  2. https://www.fai.ie/ireland/match/55501/2018/999944966?tab=report
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jessica Ziu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.