Jimbo la Uchaguzi la Eldoret Kaskazini
Eldoret Kaskazini lilikuwa jimbo la uchaguzi nchini kenya, moja kati ya matatu ya Wilaya ya Uasin Gishu. Eneo hili lilianzishwa kwa uchaguzi mkuu wa 1966. Mbunge wa sasa wa Jimbo hili ni William Ruto, mwanasiasa maarufu nchini Kenya.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Noah Chelugui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1969 | William Morogo arap Saina | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Chelagat Mutai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Chelagat Mutai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja. Mutai Mutai alitorokea Tanzania mnamo 1981 [2] |
1981 | Nicanor Kirmurgor arap Sirma | KANU | Uchaguzi mdogo |
1983 | William Morogo arap Saina | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja. |
1988 | Reuben Chesire | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja. |
1992 | William Morogo arap Saina | KANU | |
1997 | William Ruto | KANU | |
2002 | William Ruto | KANU | |
2007 | William Ruto | ODM |
Wodi
haririWodi za Uchaguzi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliosajiliwa | Utawala wa eneo |
---|---|---|
Eldoret Kaskazini | 1,740 | Munisipali ya Eldoret |
Huruma | 13,525 | Munisipali ya Eldoret |
Kamagut | 5,836 | Wareng county |
Kamukunji | 4,986 | Munisipali ya Eldoret |
Kapyemit | 7,206 | Munisipali ya Eldoret |
Kidiwa / Kapsuswa | 8,849 | Munisipali ya Eldoret |
Kiplombe | 6,733 | Wareng county |
Kipsomba | 6,064 | Wareng county |
Koisagat | 6,334 | Wareng county |
Moi's Bridge | 9,974 | Wareng county |
Ngenyilel | 7,096 | Wareng county |
Soy | 5,226 | Wareng county |
Stadium / Industrial | 5,120 | Munisipali ya Eldoret |
Sugoi | 5,233 | Wareng county |
Tapsagoi | 6,131 | Wareng county |
Ziwa | 9,576 | Wareng county |
Total | 109,629 | |
*Septemba 2005 [3].
|
Marejeo
hariri- ↑ Kituo cha Mfumo wa vyama vingi: siasa na Wabunge wa Kenya, 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Daily Nation, 22 Aprili. 2002: MP set for re-election history
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency