Jimi Hendrix
Jimi Hendrix (jina la kuzaliwa James Marshall Hendrix; 27 Novemba 1942 - 18 Septemba 1970) alikuwa mpiga gitaa maarufu kutoka nchini Marekani.
Jimi Hendrix | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | James Marshall Hendrix |
Amezaliwa | 27 Novemba 1942 Seattle, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapa, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1963-1970 |
Tovuti | jimihendrix.com |
Hendrix hufikiriwa kama mwanamuziki wa kuigwa katika historia ya muziki wa rock and roll. Baada ya mafanikio yake nchini Uingereza, akaja kuwa almaarufu dunia nzima baada ya kutumbuiza katika sikukuu za muziki wa pop za Monterey kunako mwaka wa 1967.
Viungo vya nje
hariri- The Jimi Hendrix Foundation - Started by Al and Leon Hendrix Archived 2012-12-09 at Archive.today
- Official Jimi Hendrix website
- Photos of Jimi Hendrix Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Videos of Jimi Hendrix Live
- Classic Hendrix: The Ultimate Hendrix Experience The memoirs of Jimi Hendrix
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimi Hendrix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |