Jimmy Vicaut

mwanariadha wa Ufaransa

Jimmy Vicaut (alizaliwa Bondy, Seine-Saint-Denis 27 Februari 1992) ni mwanariadha wa Ufaransa ambaye alibobea katka mbio za mita 100 na 200. Ubora wake wa binafsi wa 9.86 katika mita 100 ni wakati wa pili wa haraka zaidi wa mwanariadha yeyote wa Uropa.[1]

Jimmy Vicaut

Marejeo

hariri
  1. "Jimmy Vicaut".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Vicaut kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.