Jinja ni mji wa pili katika Uganda. Iko kando ya chanzo cha Nile inapotoka katika ziwa Viktoria Nyanza takriban katikati ya Kampala na mpaka wa Kenya kwa umbali wa km 90 mashariki kwa Kampala.

Mahali pa Jinja katika Uganda

Jinja ni mji wa viwanda. Kuna wakazi 106,000.