Jintara Poonlarp (amezaliwa Mkoa wa Roi Et, 6 Machi 1969) ni mwimbaji na mwigizaji, kutoka nchini Thailand[1][2][3].

Jintara Poonlarp

Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za Luk thung[4], sawa na Pumpuang Duangjan.

Matamasha na ziara hariri

  • 1987 : Took Lauk Oak Rong Rien
  • 1993 : Jao Bao Hai
  • 1998 : Rak Salai Dokfai Ban

Marejeo hariri

  1. "ThaiSunday.com - The Morlam, The Merrier". 2019-08-04. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-11. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |archive-web= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Bangkok's Independent Newspaper". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-29. Iliwekwa mnamo 2021-07-23.  Unknown parameter |= ignored (help)
  3. "Bangkok's Independent Newspaper". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-29. Iliwekwa mnamo 2021-07-23. 
  4. แม่อยู่มาทุกยุค „จินตหรา พูนลาภ“ ตำนานตัวแม่วงการลูกทุ่งหมอลำ

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jintara Poonlarp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.