Uthai
Uthai (pia: Siam, Thailand, Tailandi, Thailandi, Tailendi) ni ufalme katika Asia ya Kusini-Mashariki.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Phleng Chat Wimbo la kifalme: Phleng Sansoen Phra Barami | |||||
Mji mkuu | Bangkok (Krung Thep) | ||||
Mji mkubwa nchini | Bangkok | ||||
Lugha rasmi | Kithai | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Maha Vajiralongkorn Paetongtarn Shinawatra | ||||
Formation Sukhothai Mfalmedom Ufalme wa Ayutthaya Ufalme wa Thonburi Ufalme wa Chakri |
1238–1368 1350–1767 1767 hadi 7 Aprili 1782 7 Aprili 1782 hadi leo | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
513,120 km² (ya 51) 0.4 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
67,091,1201 (ya 20) 64,785,909 132.1/km² (ya 882) | ||||
Fedha | Baht (฿) (THB )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .th | ||||
Kodi ya simu | +66
- |
Imepakana na Laos, Kambodia, Malaysia na Myanmar.
Ina pwani kwenye Ghuba ya Uthai ya Bahari ya Kusini ya China upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa magharibi.
Nchi ina wakazi zaidi ya milioni 67, hivyo inashika nafasi ya 20 duniani.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Bangkok (ukiwa na wakazi milioni 8).
Historia
haririUthai ilikuwa nchi pekee ya Asia Kusini Mashariki iliyofaulu kukwepa ukoloni.
Nchi iliitwa rasmi 'Siam (สยาม) hadi mwaka 1939, tena kati ya 1945 na 1949.
Neno Thai (ไทย) linamaanisha "uhuru" kwa Kithai ni pia jina la kundi kubwa la watu nchini ambao ni Wathai (75-85%), mbali na Wathai-Wachina (12%).
Tangu tarehe 19 Septemba 2006 nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu Thaksin Shinawatra bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme kwamba wataandaa uchaguzi mpya.
Lakini hata baada ya chaguzi huru kadhaa nchi haijatulia kisiasa.
Watu
haririNchini Uthai kuna lugha za asili 73 (angalia orodha ya lugha za Uthai). Kati yake, Kithai ndiyo lugha rasmi.
Wathai walio wengi (94.5%) hufuata dini ya Ubuddha katika madhehebu ya Theravada. Kusini, mpakani kwa Malaysia, kuna Waislamu (4.3%). Wakristo ni 1.2%.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Serikali
- Thaigov.go.th Government of Thailand
- Mfa.go.th Ministry of Foreign Affairs
- Thailand Internet Information National Electronics and Computer Technology Center
- Ministry of Culture Archived 28 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- Taarifa za jumla
- Thailand entry at The World Factbook
- Thailand entry in Library of Congress Country Studies. 1987
- Thailand Archived 7 Februari 2009 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Uthai katika Open Directory Project
- Thailand from the BBC News
- Thailand Encyclopædia Britannica entry
- Wikimedia Atlas of Thailand
- Longdo Map On-line Thailand maps in English and Thai
- Key Development Forecasts for Thailand from International Futures
- 2010 Thailand population census by Economic and Social statistics Bureau Archived 16 Januari 2013 at the Wayback Machine.
- Utalii
- Tourism Authority of Thailand Official tourism website
- Vingine
- Southeast Asia Visions. "Browse the Southeast Asia Visions Collection". Cornell University Library. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2011.
Browse by image date
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uthai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |