Jipson Butukondolo

ni mwimbaji mwenye sauti maahiri kutoka kwenye bendi ya Quartier Latin International

Jipson Butukondolo ni mtunzi, mwimbaji, na mburudishaji katika bendi ya Quartier Latin International. Bendi hiyo inatoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na ilianzishwa na inaongozwa na mwanamuziki wa Kongo Koffi Olomide kutoka 1998 hadi 2008.

Muhtasari

hariri

Baadhi ya vibao ambavyo Butukondolo alishiriki, katika jukumu kuu, ni pamoja na Ba Lobiens na Biblia.

Marejeo

hariri