Joaquim Alberto Chissano (amezaliwa 22 Oktoba 1939) ni mwanasiasa aliyehudumu kama Rais wa pili wa Msumbiji, kutoka mwaka 1986 hadi 2005. Chissano pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kutoka 2003 hadi 2004.

Ana sifa ya kubadilisha nchi ya Msumbiji iliyozidiwa vita kuwa moja ya demokrasia za Afrika iliyofanikiwa zaidi.

Baada ya urais wake, Chissano alikuwa mhudumu, mjumbe na mwanadiplomasia wa nchi yake ya nyumbani na Umoja wa Mataifa.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joaquim Chissano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.