Jodhpur ni jiji la jimbo la Rajasthan nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.035 (2011). Ni mji mkubwa wa arubaini na nne nchini Uhindi.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jodhpur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.