Joseph Francis Marsala (4 Januari 19074 Machi 1978) alikuwa mpiga clarineti wa jazzi na mtunzi wa nyimbo mwenye asili ya Italia na Marekani. Nduguye mdogo alikuwa mpiga tarumbeta Marty Marsala, na alikuwa ameoa mpiga harpi wa jazzi Adele Girard.[1]

Marejeo

hariri
  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 1621. ISBN 0-85112-939-0.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Marsala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.