Johan Oldert (1912-1984) alikuwa mchoraji na mchongaji wa nchini Afrika Kusini alijulikana sana kwa uchoraji na uchongaji hasa picha za shaba. [1]

Marejeo hariri

  1. "Johan Oldert". Crouse Art Gallery website. Iliwekwa mnamo 28 Feb 2017. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johan Oldert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.