John Barwa, S.V.D. ( alizaliwa Gaibira, Odisha, Uhindi, 1 Juni 1955) ni Askofu Mkuu anayehudumu Jimbo Kuu Katoliki la Cuttack-Bhubaneswar.[1][2][3][4]

Barwa ana leseni katika Liturujia kutoka Atheneum ya Kipapa ya Mtakatifu Anselm.

Marejeo

hariri
  1. "archbishop-john-barwa-from-india-visits-medjugorje". www.medjugorje.hr. Iliwekwa mnamo 2017-08-25.
  2. "Archbishop John Barwa visits Salesian College", Salesian College Dimapur, 2017-07-14. Retrieved on 2024-12-04. (en-US) Archived from the original on 2017-08-21. 
  3. Shortt, Rupert (2012-11-01). Christianophobia: A Faith Under Attack (kwa Kiingereza). Ebury Publishing. ISBN 9781448175284.
  4. AsiaNews.it. "INDIA Mgr Barwa's deep sorrow over 20 people who died in Bhubaneshwar hospital". www.asianews.it. Iliwekwa mnamo 2017-08-20.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.