John Alexius Bathersby (26 Julai 1936 - 9 Machi 2020) alikuwa askofu wa Australia wa Kanisa Katoliki. Alikuwa askofu mkuu wa sita wa Jimbo Kuu la Brisbane, akihudumu kuanzia 1991 hadi alipostaafu mwaka wa 2011 na kutunukiwa cheo cha Askofu Mkuu Mstaafu wa Brisbane. [1]

Marejeo

hariri
  1. Hintz, Paddy. "Retiring Catholic Archbishop John Bathersby farewelled at Brisbane's St Stephen's Cathedral", News Corp, 19 December 2011. Retrieved on 31 January 2017. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.