John D. Imboden
Brigedia Jenerali wa Shirikisho
John Daniel Imboden (/ɪmˈboʊdɛn/; Februari 16, 1823 – Agosti 15, 1895) alikuwa mwanasheria wa Marekani, mbunge wa jimbo la Virginia, na jenerali wa jeshi la Confederate.
Wakati wa [[Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani, aliongoza kikosi cha wapanda farasi wasio wa kawaida.
Baada ya vita, alirejea katika kazi ya sheria, akawa mwandishi, na alikuwa na shughuli nyingi katika maendeleo ya ardhi, akianzisha mji wa Damascus, Virginia.[1]
Marejeo
hariri- ↑ 1850 U.S. Federal Census for District 2 and a half, Augusta County, Virginia, family 1318 (p. 173 of 248 indexed as "Jenbourn"
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John D. Imboden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |