John Damiano Komba

John Damiano Komba (18 Machi 195428 Februari 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Alitokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM). Alikuwa pia mwimbaji maarufu.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu John Damiano Komba". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13.  Mengi kuhusu John Damiano Komba]