John Raymond Garamendi (alizaliwa Januari 24, 1945) ni mfanyabiashara kutoka nchini marekani, mwanasiasa na mwanachama wa Chama cha Democratic Party, ambaye amewakilisha maeneo ya Kaskazini mwa California kati ya San Francisco na Sacramento, ikiwa ni pamoja na miji ya Fairfield na Suisun, katika Baraza la Wawakilishi la Marekani tangu mwaka 2009. Garamendi alikuwa Kamishna wa Bima wa California kutoka mwaka 1991 hadi 1995 na 2003 hadi 2007, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani kutoka 1995 hadi 1998, na Gavana wa 46 wa California kutoka 2007 hadi kuchaguliwa kwake kuwepo Congress mwishoni mwa 2009.[1]

John Garamendi

Marejeo

hariri
  1. "Congressional District 10 Special Election Results - September 1, 2009 - California Secretary of State". web.archive.org. 2009-10-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-19. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Garamendi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.